Ukuaji wa matiti kwa mwanaume (Gynecomastia) - Dalili na Matibabu
Ugonjwa wa gynecomastia, chanzo, dalili, madhara na matibabu.
UGONJWA WA GYNECOMASTIA (UKUAJI WA MATITI KWA WANAUME)
Ugonjwa wa Gynecomastia ni hali ambapo matiti ya mwanaume huongezeka au kuvimba kutokana na kuongezeka kwa tishu ya matiti (breast tissue), siyo mafuta tu. Hii hutokea kwa sababu ya usawa wa homoni kuharibika, hasa pale ambapo homoni ya kike (estrogen) iko nyingi au homoni ya kiume (testosterone) iko kidogo.
Wanaume watu wazima yani walio balehee wanahitajika kuwa na homoni ya testesteroni angalau kuanzia 2.5 hadi 8.0 ng/mL
Hivyo, chini ya kiwango iko matokeo yako yanaonyesha upungufu mkubwa wa homoni yako ya testosterone (hypogonadism) ikiwa kama mwanaume.
𝗦𝗮𝗯𝗮𝗯𝘂 𝗸𝘂𝘂 𝘇𝗮 𝗚𝘆𝗻𝗲𝗰𝗼𝗺𝗮𝘀𝘁𝗶𝗮
1. Mabadiliko ya homoni ya ujana (puberty) – hutokea kwa wavulana waliobalehe na mara nyingi matibabu ya dawa husaidia ugonjwa huu kupotea wenyewe baada ya miezi au mwaka mmoja inategemea na ukubwa wa tatizo.
2. Kuzeeka – wanaume wakubwa hupata kwa sababu ya kupungua kwa testosterone na kuongezeka kwa mafuta yanayobadilisha homoni kuwa estrogen.
3. Matumizi ya dawa – kama vile:
Dawa za saratani ya tezi dume (prostate cancer)
Steroids (anabolic steroids)
Dawa za shinikizo la damu (kama spironolactone)
- Dawa za kifafa, vidonda vya tumbo, au magonjwa ya moyo.
4. Matumizi ya pombe au dawa za kulevya – hasa bangi, heroin, au methadone.
5. Magonjwa ya ini – hasa cirrhosis.
6. Magonjwa ya figo sugu.
7. Matatizo ya tezi – hasa hyperthyroidism.
8. Uvime au saratani kwenye korodani au tezi ya pituitary ambayo huongeza estrogen.
9. Lishe duni au utapiamlo – huchangia usawa wa homoni kuvurugika.
10. Kuzidi uzito (obesity) – mafuta mengi huongeza ubadilishaji wa testosterone kuwa estrogen.
𝗗𝗮𝗹𝗶𝗹𝗶 𝘇𝗮 𝗚𝘆𝗻𝗲𝗰𝗼𝗺𝗮𝘀𝘁𝗶𝗮
Kuongezeka au kuvimba kwa titi moja au yote mawili.
Maumivu au unyeti kwenye eneo la chuchu.
Uvimbe mgumu chini ya chuchu.
- Mara chache, kutokwa na majimaji kwenye chuchu hasa tatizo linapokuwa kubwa.
𝗩𝗶𝗽𝗶𝗺𝗼 𝘃𝗶𝗻𝗮𝘃𝘆𝗼𝘄𝗲𝘇𝗮 𝗸𝘂𝗳𝗮𝗻𝘆𝗶𝗸𝗮
Vipimo vya homoni (testosterone, estrogen, prolactin).
vya ini, figo, na tezi.
Ultrasound ya titi au mammogram kuondoa uwepo wa saratani.
- Ultrasound ya korodani kama kuna mashaka ya uvimbe.
𝗠𝗔𝗧𝗜𝗕𝗔𝗕𝗨
- Kwa wavulana wa umri wa balehe: mara nyingi inahitaji matibabu ya dawa za kubance homon za uzazi kama vile tastestoroni na eostrojen, hupona yenyewe baada ya miezi 6–24.
- Kutibu chanzo – mfano kusitisha dawa inayosababisha, kutibu ugonjwa wa ini/figo/tezi.
- Dawa – kama Quadreish, zamino, Nmn na yunzhi (huondoa tishu za matiti na kuondoa uvimbe au kokwa) katika kipindi cha matibabu.
- Upasuaji (mastectomy au liposuction) – kama tatizo limekuwa kubwa au linaumiza kisaikolojia.
Kubadilisha mtindo wa maisha – kupunguza uzito, kuacha pombe na dawa za kulevya.
MADHARA YA UGONJWA WA GYNECOMASTIA PINDI ISIPO TIBIWA
Saratani au kabsa ya matiti
Kupoteza nguvu za kiume (Kushindwa muhimili tendo kwa muda mrefu)
Mwanaume kuhisi aibu au fedha kwa watu wanao mzunguka kutokana na muonekano wa kifua
- Maziwa kuwa makubwa kama mwanamke
kwa huduma za matibabu na ushauri, usisite kuwasiliana nasi kwakupiga simu au kutuna ujumbe mfupi wa maandishi kupitia whatsap +255628361104 +255746484873