Ugonjwa wa kisukari, Visababishi, Dalili za Kisukari Mwilini, Madhara na Matibabu.
Mwili wa mwanadamu unahitaji sukari kama chanzo cha nishati kwa seli zote za misuli, tishu na ubongo. Wakati wowote, viwango vya glukosi katika damu hudhibitiwa na homoni inayoitwa โinsuliniโ, ambayo hutolewa na kongosho. Kwa watu wenye ugonjwa wa kisukari, insulini inayotolewa na kongosho haitoshi, au seli za mwili huwa sugu kwa insulini. Hii husababisha kuongezeka kwa viwango vya sukari ya damu, inayojulikana kama sukari ya juu ya damu.
FAHAMU ZADI KUHUSU UGONJWA WA KISUKARI NA MATIBABU YAKE:
Ugonjwa wa kisukari (Diabetes mellitus) ni hali ambayo kiwango cha sukari (glucose) katika damu kinakuwa juu kuliko kawaida kwa muda mrefu, kutokana na matatizo katika utendaji wa homoni ya insulin au ukosefu wake kabisa, kushuka kwa DNA za seli na magonjwa ya kongosho.
ย
๐ฉธ ๐๐๐๐ก๐ญ๐ข (๐ฆ๐ฎ๐ฏ๐ฎ๐ฏ๐ ๐ธ๐๐ ๐๐ฎ ๐๐ด๐ผ๐ป๐ท๐๐ฎ ๐๐ฎ ๐ธ๐ถ๐๐๐ธ๐ฎ๐ฟ๐ถ)
Kuna aina kuu mbili za kisukari, kila moja ikiwa na chanzo chake:
๐ญ. ๐๐ถ๐๐๐ธ๐ฎ๐ฟ๐ถ ๐๐ถ๐ป๐ฎ ๐๐ฎ ๐๐๐ฎ๐ป๐๐ฎ (๐ง๐๐ฝ๐ฒ ๐ญ ๐๐ถ๐ฎ๐ฏ๐ฒ๐๐ฒ๐)
ย
- Hutokea pale ambapo kongosho (pancreas) hushindwa kabisa kutengeneza insulin.
ย
๐ฉ๐๐ฆ๐๐๐๐๐๐ฆ๐๐ ๐ฉ๐๐๐จ๐จ ๐ฉ๐ฌ๐ ๐จ๐๐ข๐ก๐๐ช๐ ๐ช๐ ๐๐๐ฆ๐จ๐๐๐ฅ๐ ๐๐๐ ๐๐๐ก๐ ๐ฌ๐ ๐๐ช๐๐ก๐ญ๐:
Mfumo wa kinga ya mwili hushambulia seli zinazotengeneza insulin (autoimmune disease).
ย
Huonekana zaidi kwa watoto na vijana wadogo.
ย
- Vinasaba (urithi wa kifamilia) vinaweza kuchangia.
ย
๐ฎ. ๐๐ถ๐๐๐ธ๐ฎ๐ฟ๐ถ ๐๐ถ๐ป๐ฎ ๐๐ฎ ๐ฃ๐ถ๐น๐ถ (๐ง๐๐ฝ๐ฒ ๐ฎ ๐๐ถ๐ฎ๐ฏ๐ฒ๐๐ฒ๐)
ย
Hii ndiyo aina inayotokea zaidi kwa watu wazima.
ย
- Mwili unazalisha insulin, lakini seli zinashindwa kuitumia vizuri (insulin resistance).
ย
๐ฉ๐๐ฆ๐๐๐๐๐๐ฆ๐๐ ๐ฉ๐๐๐จ๐จ:
Unene kupita kiasi.
ย
Lishe isiyo bora (vyakula vyenye mafuta na sukari nyingi).
ย
Kutokufanya mazoezi.
ย
Msongo wa mawazo (stress).
ย
Urithi wa kifamilia.
ย
- Umri mkubwa (zaidi ya miaka 40 huongeza hatari).
ย
๐ฏ. ๐๐ถ๐๐๐ธ๐ฎ๐ฟ๐ถ ๐ฐ๐ต๐ฎ ๐ ๐ถ๐บ๐ฏ๐ฎ (๐๐ฒ๐๐๐ฎ๐๐ถ๐ผ๐ป๐ฎ๐น ๐๐ถ๐ฎ๐ฏ๐ฒ๐๐ฒ๐)
Hutokea kwa baadhi ya wanawake wakati wa ujauzito.
ย
- mMara nyingi hupotea baada ya kujifungua, lakini huongeza hatari ya kupata Type 2 baadaye.
ย
โ ๏ธ ๐๐๐๐๐๐ ๐ฌ๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐ญ๐ ๐จ๐๐ข๐ก๐๐ช๐ ๐ช๐ ย ๐๐๐ฆ๐จ๐๐๐ฅ๐
Dalili zinaweza kujitokeza taratibu au ghafla, kulingana na aina ya ugonjwa:
ย
1. Kukojoa mara kwa mara, hasa usiku.
2. Kiu isiyoisha.
3. Kula sana lakini mwili hauongezeki uzito.
4. Kupungua uzito bila sababu.
5. Uchovu au kukosa nguvu.
6. Maumivu ya kichwa na kizunguzungu.
7. Maono kuwa hafifu (vision blurred).
8. Vidonda kutopona haraka.
9. Ngozi kuwasha au kuambukizwa mara kwa mara.
ย
10. Kwa wanaume - Hupata shida ya ย upungufu wa nguvu za kiume.
ย
11. Kwa wanawake - Maambukizi ya mara kwa mara ya sehemu za siri kama vile Gonorrhea, ย Kaswende, P.I.D au U.T.I
ย
๐ฅ ๐๐๐๐๐๐ ๐ฌ๐ ๐ ๐๐๐๐๐ฅ๐ ๐ฌ๐ ๐จ๐๐ข๐ก๐๐ช๐ ๐ช๐ ๐๐๐ฆ๐จ๐๐๐ฅ๐ ๐จ๐ฆ๐๐ข ๐ง๐๐๐๐ช๐ ๐๐จ ๐๐จ๐๐๐๐๐๐ง๐๐ช๐
Kisukari kisipodhibitiwa kinaweza kusababisha matatizo makubwa kwa viungo mbalimbali vya mwili:
๐ญ. ๐ ๐ฎ๐ด๐ผ๐ป๐ท๐๐ฎ ๐๐ฎ ๐ ๐ฎ๐ฐ๐ต๐ผ
Kisukari husababisha ugonjwa wa macho na upofu (diabetic retinopathy).
ย
๐ฎ. ๐ ๐ฎ๐ด๐ผ๐ป๐ท๐๐ฎ ๐๐๐ด๐ ๐๐ฎ ๐ณ๐ถ๐ด๐ผ
Ugonjwa wa kisukari husababisha ย kushindwa kwa figo (kidney failure).
ย
๐ฏ. ๐ ๐ฎ๐๐ฎ๐๐ถ๐๐ผ ๐๐ฎ ๐ ๐ถ๐๐ต๐ถ๐ฝ๐ฎ ๐๐ฎ ๐ฑ๐ฎ๐บ๐
Ugonjwa wa kisukari husababisha na kuongeza hatari ya presha na kiharusi.
ย
๐ฐ. ๐ ๐ฎ๐๐ฎ๐๐ถ๐๐ผ ๐๐ฎ ๐ ๐ถ๐๐ต๐ถ๐ฝ๐ฎ ๐๐ฎ ๐ณ๐ฎ๐ต๐ฎ๐บ๐
Wagonjwa wa kisukari hupata matatizo ya Ganzi, kuchoma miguu au kuwaka moto na shida za mikono (neuropathy).
ย
๐ฑ. ๐ฆ๐๐ธ๐ฎ๐ฟ๐ถ ๐๐ฎ ๐ฑ๐ฎ๐บ๐ ๐ฝ๐ถ๐ฎ ๐ป๐ฑ๐ผ ๐ฐ๐ต๐ฎ๐ป๐ด๐ฎ๐บ๐ผ๐๐ผ ๐๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ด๐ผ๐ป๐ท๐๐ฎ ๐๐ฎ ๐บ๐ผ๐๐ผ
Husababisha magonjwa ya moyo na mishipa ya damu kama vile shambulio la moyo au mishipa ya moyo kusinyaa.
๐ฒ. ๐ ๐ฎ๐ด๐ผ๐ป๐ท๐๐ฎ ๐๐๐ด๐ ๐๐ฎ ๐บ๐ถ๐ด๐๐
Wagonjwa au waathirika wa kisukari hupaga changamoto ya vidonda visivyopona, hata kukatwa (gangrene).
ย
๐ณ. ๐ ๐ฎ๐ด๐ผ๐ป๐ท๐๐ฎ ๐๐ฎ ๐บ๐ฒ๐ป๐ผ, ๐ณ๐ถ๐๐ถ ๐ป๐ฎ ๐บ๐ถ๐ณ๐๐ฝ๐ฎ
Kisukari ni chanzo cha magonjwa ya fizi na kuoza kwa meno.
ย
๐ด. ๐ ๐ฎ๐๐ฎ๐๐ถ๐๐ผ ๐๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ด๐ผ๐ป๐ท๐๐ฎ ๐๐ฎ ๐๐๐ฎ๐๐ถ ๐ธ๐๐ฎ ๐๐ฎ๐ป๐ฎ๐๐บ๐ฒ
Kwa upande wa wanaume hupata changamoto au matatizo ya nguvu za kiume.
ย
๐ต. ๐ ๐ฎ๐๐ฎ๐๐ถ๐๐ผ ๐ธ๐๐ฎ ๐๐ฎ๐ป๐ฎ๐๐ฎ๐ธ๐ฒ ๐๐ฎ๐ท๐ฎ๐๐ฎ๐๐ถ๐๐ผ
Matatizo kwa mama na mtoto (kama uzito mkubwa wa mtoto au kujifungua kwa upasuaji).
ย
๐ก๐๐ ๐ก๐ ๐ฌ๐ ๐๐จ๐ฃ๐๐ง๐ ๐ฆ๐จ๐๐จ๐๐๐ฆ๐๐ข ๐๐ ๐๐จ๐ฃ๐ข๐ก๐ ๐จ๐๐ข๐ก๐๐ช๐ ๐ช๐ ๐๐๐ฆ๐จ๐๐๐ฅ๐:
ย
Tumia dawa sahihi za kudhibiti kiwango sahihi cha sukari kwenye damu
ย
Tumia dawa zenye uwezo wa kuimarisha afya ya kongosho na insulini.
ย
Tumia dawa zenye uwezo wa kurejesha DNA za seli zilizo kufa, kuchakaa au kushuka kwa utendaji wake wa kazi.
ย
Tumia dawa zenye uwezo wa kudhibiti kinga ya mwili
ย
Kula chakula bora (epuka sukari, chumvi na mafuta mengi).
ย
Fanya mazoezi kila siku (angalau dakika 30).
ย
Dumisha uzito wa kawaida.
ย
Pima sukari mara kwa mara.
ย
Epuka msongo wa mawazo.
ย
- Fuata ushauri wa daktari na dawa kama ulivyo elekezwa.
ย
๐๐จ๐ ๐๐จ๐๐:- ย Ni muhimu kufuatilia afya yako kwa kufanya vipimo vya mara kwa mara na kuyafikia matibabu ya mapema pale tatizo linapo bainika, kwani kila sekunde ni muhimu katika kuokoa maisha na kuepuka madhara ya kudumu.
ย
๐ ๐๐๐๐๐ ๐ง๐จ๐๐๐ฃ๐ข: Hospitali, tunapatikana Dar es salaam Mbezi luis jirani na stendi kuu.
๐๐๐ฑ๐๐บ๐ฎ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐บ๐๐ผ๐ป๐ฎ ๐๐ฎ๐ธ๐๐ฎ๐ฟ๐ถ ๐ป๐ฎ ๐๐๐ต๐ฎ๐๐ฟ๐ถ ๐ต๐๐๐ผ๐น๐ฒ๐๐ฎ ๐ฏ๐๐ฟ๐ฒ๐ฒ.
Unaweza kuwasiliana nasi kwakupiga simu au kutuma ujumbe mfupi wa maandishi kupitia WhatsApp: +255628361104 ย ย +255746484873
๐๐ฎ๐ฟ๐ถ๐ฏ๐ ๐๐๐ธ๐๐ต๐๐ฑ๐๐บ๐ถ๐ฒ ๐ธ๐๐ฎ ๐ฐ๐ต๐ฎ๐ป๐ด๐ฎ๐บ๐ผ๐๐ผ ๐๐ฎ ๐ฎ๐ณ๐๐ฎ ๐๐๐ป๐ฎ๐๐ผ๐ฎ ๐ต๐๐ฑ๐๐บ๐ฎ ๐๐ฎ ๐ฉ๐๐ฃ๐๐ ๐ข, ๐ ๐๐ง๐๐๐๐๐จ, ๐๐๐๐ก๐๐ข ๐ก๐ ๐จ๐ฆ๐๐๐จ๐ฅ๐: