Tafuta

Appointiment


*

Kucha kubadilika rangi - Dalili za moja wapo kwa wagonjwa wa homa ya ini na magonjwa ya ndani au mfumo wa kinga


Mabadiliko ya rangi ya kucha au umbo si tu masuala ya uremboโ€”yanaweza kuwa dalili za mapema za upungufu wa lishe, maambukizi, au hata hali mbaya ya kiafya.

๐—ฆ๐—”๐—•๐—”๐—•๐—จ ๐—ญ๐—” ๐— ๐—”๐—•๐—”๐——๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ž๐—ข ๐—ฌ๐—” ๐—ฅ๐—”๐—ก๐—š๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—จ๐—–๐—›๐—” ๐—ก๐—” ๐—ก๐—š๐—ข๐—ญ๐—œ:


Kwa mgonjwa wa ๐—ณ๐—ถ๐—ด๐—ผ, ๐—ป๐˜†๐—ผ๐—ป๐—ด๐—ผ ๐—ป๐—ฎ  ๐—ถ๐—ป๐—ถ (๐—ต๐—ฒ๐—ฝ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐˜๐—ถ๐˜€) anaweza kubadilika rangi ya kucha na kuwa na rangi nyeupe, nyeusi au njano kutokana na sababu kadhaa zinazohusiana na matatizo ya viungo ivyo muhimu mwilini:

 

๐—ž๐˜‚๐—ฐ๐—ต๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—ฟ๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ป๐—ท๐—ฎ๐—ป๐—ผ ๐—ฎ๐˜‚ ๐—ธ๐—ฎ๐—ต๐—ฎ๐˜„๐—ถ๐—ฎ:

Hii hutokea kutokana na mkusanyiko wa sumu mwilini kwa sababu figo haziwezi kuchuja taka vizuri.

 

๐—ž๐˜‚๐—ฐ๐—ต๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐—ฑ๐—ต๐—ฎ๐—ถ๐—ณ๐˜‚ ๐—ป๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ฎ๐˜€๐˜‚๐—ธ๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐˜‚๐—ฟ๐—ฎ๐—ต๐—ถ๐˜€๐—ถ:

Matatizo ya lishe na upungufu wa madini kama zinki au kalisiamu kutokana na ugonjwa wa figo huweza kusababisha hili.

 

๐—ž๐˜‚๐—ฐ๐—ต๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐—ถ๐˜€๐˜๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐—บ๐˜†๐—ฒ๐˜‚๐—ฝ๐—ฒ ๐—ฎ๐˜‚ ๐—บ๐˜†๐—ฒ๐˜‚๐˜€๐—ถ:

Huenda ikawa ishara ya matatizo makubwa ya ini.

 

๐—ž๐˜‚๐—ฐ๐—ต๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐—ป๐˜†๐—ฒ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—ฑ๐—ต๐—ฎ๐—ถ๐—ณ๐˜‚:

Ini likiathirika, mwili hushindwa kunyonya virutubisho muhimu kwa ukuaji wa kucha.

 

๐— ๐˜€๐˜๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐—บ๐˜„๐—ฒ๐˜‚๐—ฝ๐—ฒ ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฐ๐—ต๐—ฎ (๐—Ÿ๐—ถ๐—ป๐—ฑ๐˜€๐—ฎ๐˜†โ€™๐˜€ ๐—ป๐—ฎ๐—ถ๐—น๐˜€):

Sehemu ya chini ya kucha huwa nyeupe, huku sehemu ya juu ikiwa ya kahawia au ya rangi ya kawaida.

 

 ๐—๐—ฎ๐˜‚๐—ป๐—ฑ๐—ถ๐—ฐ๐—ฒ (๐— ๐—ฎ๐—ป๐—ท๐—ฎ๐—ป๐—ผ):

Ini linaposhindwa kuchuja bilirubin, dutu inayotokana na kuvunjika kwa seli nyekundu za damu, ngozi na sehemu za mwili kama macho na kucha zinaweza kuwa na rangi ya njano.

 

๐—ž๐˜‚๐—ฐ๐—ต๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐—ถ๐˜€๐˜๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—•lue:

Hizi ni mistari ya usawa inayoweza kuonekana kwenye kucha kutokana na mwili kuwa na msongo wa ugonjwa sugu kama homa ya figo.

 

๐—จ๐—ฝ๐˜‚๐—ป๐—ด๐˜‚๐—ณ๐˜‚ ๐˜„๐—ฎ ๐—”๐—น๐—ฏ๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ป ๐—บ๐˜„๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ป๐—ถ:

Ini likiwa na matatizo, uzalishaji wa albumin hupungua. Albumin ni protini inayosaidia kudumisha afya ya ngozi na kucha. Ukosefu wake husababisha kucha kuwa nyembamba, dhaifu, na mara nyingine kuwa na mabadiliko ya rangi kama kuwa nyeupe.

 

๐— ๐—ธ๐˜‚๐˜€๐—ฎ๐—ป๐˜†๐—ถ๐—ธ๐—ผ ๐˜„๐—ฎ Sumu (๐—ง๐—ผ๐˜…๐—ถ๐—ป๐˜€):

Ini linaposhindwa kufanya kazi ipasavyo, sumu kwenye damu huongezeka, hali inayoweza kuathiri ukuaji wa kucha na kusababisha zionekane tofauti.

 

๐—ž๐˜‚๐—ฐ๐—ต๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—ฟ๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฏ๐—น๐˜‚๐˜‚ ๐—ฎ๐˜‚ ๐—ป๐˜†๐—ฒ๐˜‚๐˜€๐—ถ:

Hii inaweza kutokea kutokana na upungufu wa oksijeni kwenye damu, jambo linaloweza kuhusiana na matatizo ya figo.

 

๐—Ÿ๐—ฒ๐˜‚๐—ฐ๐—ผ๐—ป๐˜†๐—ฐ๐—ต๐—ถ๐—ฎ (๐—ž๐˜‚๐—ฐ๐—ต๐—ฎ ๐—ก๐˜†๐—ฒ๐˜‚๐—ฝ๐—ฒ):

Wagonjwa wa ini mara nyingi hupata hali inayoitwa leuconychia, ambapo kucha zao zinakuwa na weupe wa kudumu kutokana na upungufu wa protini na mabadiliko ya afya ya mishipa midogo ya damu chini ya kucha.

 

๐—–๐—ถ๐—ฟ๐—ฟ๐—ต๐—ผ๐˜€๐—ถ๐˜€ ๐˜†๐—ฎ ๐—œ๐—ป๐—ถ:

Wagonjwa wa cirrhosis, hasa wale walio katika hatua za mwisho za ugonjwa wa ini, hupata Terryโ€™s nails, ambapo sehemu kubwa ya kucha huwa nyeupe na sehemu ya mwisho hubaki na rangi ya pinki au hudhurungi.

Ikiwa mtu ana dalili hizi pamoja na uchovu, manjano ya macho na ngozi, au uvimbe wa tumbo na miguu, anapaswa kuwai matibabu ya mapema na vipimo.

 

๐—ž๐—จ๐— ๐—•๐—จ๐—ž๐—”:-  Ni muhimu kufuatilia afya yako kwa kufanya vipimo vya mara kwa mara na kuyafikia matibabu ya mapema pale tatizo linapo bainika, kwani kila sekunde ni muhimu katika kuokoa maisha na kuepuka madhara ya kudumu.

 

๐—ž๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ฏ๐˜‚ ๐˜๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐—ต๐˜‚๐—ฑ๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฒ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ๐—บ๐—ผ๐˜๐—ผ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ฎ๐—ณ๐˜†๐—ฎ ๐˜๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜๐—ผ๐—ฎ ๐—ต๐˜‚๐—ฑ๐˜‚๐—บ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฉ๐—œ๐—ฃ๐—œ๐— ๐—ข, ๐—จ๐—ฆ๐—›๐—”๐—จ๐—ฅ๐—œ ๐—ก๐—” ๐— ๐—”๐—ง๐—œ๐—•๐—”๐—•๐—จ.

Taarifa zaidi

Karibu kwa huduma!