Tafuta

Appointiment


*

Sumu [Ini linaweza kuathiriwa kwa uwepo wa sumu nyingi mwilini]


Punguza au acha kabisa kunywa pombe, vyakula vyenye sukari nyingi, Chumvi na mafuta.

๐—จ๐—ช๐—˜๐—ฃ๐—ข ๐—ช๐—” ๐—ฆ๐—จ๐— ๐—จ ๐—ก๐—ฌ๐—œ๐—ก๐—š๐—œ ๐— ๐—ช๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ก๐—œ ๐—ก๐—œ ๐—›๐—”๐—ง๐—”๐—ฅ๐—œ ๐—ž๐—ช๐—” ๐—”๐—™๐—ฌ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—œ๐—ก๐—œ:

Sumu nyingi mwilini zinaweza kuathiri sana ๐—œ๐—ก๐—œ kwa sababu ๐—œ๐—ก๐—œ ndio kiungo kikuu cha kuchuja na kuondoa sumu mwilini.

Magonjwa mengi ya ๐—œ๐—ก๐—œ yasipo tibiwa, yana sabisha mwili kushindwa kusafisha sumu vizuri, na pia sumu nyingi zinaweza kuliharibu ๐—œ๐—ก๐—œ na kupelekea kansa ya ini, au kuvimba kwa ini


๐—•๐—”๐—”๐——๐—›๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐——๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—Ÿ๐—œ ๐—ญ๐—” ๐— ๐—ง๐—จ ๐—”๐—ž๐—œ๐—ช๐—” ๐—ก๐—” ๐—ฆ๐—จ๐— ๐—จ ๐—ก๐—ฌ๐—œ๐—ก๐—š๐—œ ๐— ๐—ช๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ก๐—œ


โœ”๏ธ Ngozi kuwasha sana kwa hatua za awali ngozi inaweza kuwasha sana jioni au usikuย 


โœ”๏ธ Maumivu ya tumbo upande wa kulia chini ya mbavu


โœ”๏ธ Tumbo kujaa gesi na kuwa gumu


โœ”๏ธ Kuhisi kichefuchefu mara kwa mara na muda mwingine kutapika


โœ”๏ธ Mkojo kuwa wa njano sana sana kutokana na uwepo wa protini au nimonia nyingi


โœ”๏ธ Macho au ngozi kuwa na rangi ya njano


โœ”๏ธ Mgonjwa kukosa kabisa hamu ya kula


โœ”๏ธMgonjwa kuwa na harufu mbaya mdomoni


โœ”๏ธ Mgonjwa anaweza kufikia hatua ya kuvimba miguu au tumbo pindi asipo tibiwaย 


๐—•๐—”๐—”๐——๐—›๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ฉ๐—œ๐—ง๐—จ ๐—ฉ๐—œ๐—ก๐—”๐—ฉ๐—ฌ๐—ข๐—ช๐—˜๐—ญ๐—” ๐—ž๐—จ๐—ข๐—ก๐—š๐—˜๐—ญ๐—” ๐—ฆ๐—จ๐— ๐—จ ๐—ก๐—” ๐—ž๐—จ๐—›๐—”๐—ฅ๐—œ๐—•๐—จ ๐—œ๐—ก๐—œ


โœ”๏ธ Matumizi ya pombe kupita kiasi


โœ”๏ธ Matumizi ya dawa nyingi za maumivu bila ushauri


โœ”๏ธ Maambukizi ya muda mrefu ya homa ya ini kama Hepatitis B na Hepatitis C ๐˜‡๐—ถ๐˜€๐—ถ๐—ฝ๐—ผ ๐˜๐—ถ๐—ฏ๐—ถ๐˜„๐—ฎ


โœ”๏ธ Kutumia vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi


โœ”๏ธ Kula kemikali au dawa za kienyeji zisizojulikana


โœ”๏ธ Matumizi makubwa ya sigara au uvutaji sigara wa mara kwa mara


โœ”๏ธ Uzito mkubwa kupita kiasi (Mwili unajaa mafuta) hauna mazoezi ni hatari sana kwa afya ya ini


๐—ก๐—•: Tokomeza MAAMBUKIZIย  - Ondoa MAFUTAย  kwenye INI imarisha Afya Yako


๐— ๐—”๐—œ๐—ฆ๐—›๐—” ๐—•๐—œ๐—Ÿ๐—” ๐—›๐—ข๐— ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—œ๐—ก๐—œ, ๐—œ๐—ก๐—”๐—ช๐—˜๐—ญ๐—˜๐—ž๐—”๐—ก๐—”

๐—ง๐—ถ๐—ฏ๐˜‚ ๐—œ๐—ก๐—œ - ๐—ข๐—ธ๐—ผ๐—ฎ ๐— ๐—ฎ๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ

Taarifa zaidi

Karibu kwa huduma!