Sumu [Ini linaweza kuathiriwa kwa uwepo wa sumu nyingi mwilini]
Punguza au acha kabisa kunywa pombe, vyakula vyenye sukari nyingi, Chumvi na mafuta.
๐จ๐ช๐๐ฃ๐ข ๐ช๐ ๐ฆ๐จ๐ ๐จ ๐ก๐ฌ๐๐ก๐๐ ๐ ๐ช๐๐๐๐ก๐ ๐ก๐ ๐๐๐ง๐๐ฅ๐ ๐๐ช๐ ๐๐๐ฌ๐ ๐ฌ๐ ๐๐ก๐:
Sumu nyingi mwilini zinaweza kuathiri sana ๐๐ก๐ kwa sababu ๐๐ก๐ ndio kiungo kikuu cha kuchuja na kuondoa sumu mwilini.
Magonjwa mengi ya ๐๐ก๐ yasipo tibiwa, yana sabisha mwili kushindwa kusafisha sumu vizuri, na pia sumu nyingi zinaweza kuliharibu ๐๐ก๐ na kupelekea kansa ya ini, au kuvimba kwa ini
๐๐๐๐๐๐ ๐ฌ๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐ญ๐ ๐ ๐ง๐จ ๐๐๐๐ช๐ ๐ก๐ ๐ฆ๐จ๐ ๐จ ๐ก๐ฌ๐๐ก๐๐ ๐ ๐ช๐๐๐๐ก๐
โ๏ธ Ngozi kuwasha sana kwa hatua za awali ngozi inaweza kuwasha sana jioni au usikuย
โ๏ธ Maumivu ya tumbo upande wa kulia chini ya mbavu
โ๏ธ Tumbo kujaa gesi na kuwa gumu
โ๏ธ Kuhisi kichefuchefu mara kwa mara na muda mwingine kutapika
โ๏ธ Mkojo kuwa wa njano sana sana kutokana na uwepo wa protini au nimonia nyingi
โ๏ธ Macho au ngozi kuwa na rangi ya njano
โ๏ธ Mgonjwa kukosa kabisa hamu ya kula
โ๏ธMgonjwa kuwa na harufu mbaya mdomoni
โ๏ธ Mgonjwa anaweza kufikia hatua ya kuvimba miguu au tumbo pindi asipo tibiwaย
๐๐๐๐๐๐ ๐ฌ๐ ๐ฉ๐๐ง๐จ ๐ฉ๐๐ก๐๐ฉ๐ฌ๐ข๐ช๐๐ญ๐ ๐๐จ๐ข๐ก๐๐๐ญ๐ ๐ฆ๐จ๐ ๐จ ๐ก๐ ๐๐จ๐๐๐ฅ๐๐๐จ ๐๐ก๐
โ๏ธ Matumizi ya pombe kupita kiasi
โ๏ธ Matumizi ya dawa nyingi za maumivu bila ushauri
โ๏ธ Maambukizi ya muda mrefu ya homa ya ini kama Hepatitis B na Hepatitis C ๐๐ถ๐๐ถ๐ฝ๐ผ ๐๐ถ๐ฏ๐ถ๐๐ฎ
โ๏ธ Kutumia vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi
โ๏ธ Kula kemikali au dawa za kienyeji zisizojulikana
โ๏ธ Matumizi makubwa ya sigara au uvutaji sigara wa mara kwa mara
โ๏ธ Uzito mkubwa kupita kiasi (Mwili unajaa mafuta) hauna mazoezi ni hatari sana kwa afya ya ini
๐ก๐: Tokomeza MAAMBUKIZIย - Ondoa MAFUTAย kwenye INI imarisha Afya Yako
๐ ๐๐๐ฆ๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ข๐ ๐ ๐ฌ๐ ๐๐ก๐, ๐๐ก๐๐ช๐๐ญ๐๐๐๐ก๐
๐ง๐ถ๐ฏ๐ ๐๐ก๐ - ๐ข๐ธ๐ผ๐ฎ ๐ ๐ฎ๐ถ๐๐ต๐ฎ